Nzi atumika kuangalia ubora wa nyama Uganda | Media Center | DW | 15.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Nzi atumika kuangalia ubora wa nyama Uganda

Wauzaji nyama nchini Uganda pamoja na wateja wao wanategemea nzi kama kielelezo cha kuangalia ubora wa nyama inayouzwa kwenye maduka husika za kuuza nyama. Hii inafuatia operesheni dhidi ya wauza nyama wanaotumia kemikali na dawa hatari kwa afya ya binadamu kuhifadhia nyama.

Tazama vidio 02:07
Sasa moja kwa moja
dakika (0)