1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Njia nyeupe kwa Museveni kuwania urais tena

27 Julai 2018

Mahakama Uganda imemsafishia njia Rais Yoweri Museveni mwenye miaka 73 kuwania muhula wa sita kama rais, baada ya kuidhinisha mabadiliko ya katiba kwenye kipengee chenye kuondoa ukomo wa umri.

https://p.dw.com/p/32C4i