1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini maana ya kuwa mwanaume wa Kiafrika katika karne ya 21?

Bruce Alakonya25 Oktoba 2021

Ni aina gani ya shinikizo zinazowakumba wanaume? Na ni vipi tunaweza kueleza maana ya uanaume katika ulimwengu wa kisasa. Kuwa mwanaume wa kisasa barani Afrika huja na matarajio na shinikizo chungu nzima. Kikosi cha Televisheni ya DW kilikuwa katika mitaa ya Nairobi na kuzungumza na wanaume. Karibu katika Vijana Mchakamchaka, ukiwa na Bruce Amani.

https://p.dw.com/p/429WF