Nigeria: ′Smart taxis′ of Lagos | Anza | DW | 09.09.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Nigeria: 'Smart taxis' of Lagos

Kawaida unaweza kuchungulia dirishani, ama ukasoma gazeti huku ukingoja mpaka ufike unapokwenda. Hivyo ndio wetu wengi wanavyoutumia muda wao wakiwa ndani ya teksi. Hata hivyo, katika jiji la Lagos Nigeria, zaidi ya teksi 250 sasa zimewekwa mtandao wa intaneti. Wateja wanaweza kuutumia huku wakiwa wamekwama katika foleni za magari.

Tazama vidio 03:13