1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nchi za Afrika zaonywa kuhusu kirusi cha Zika

3 Februari 2016

Mtaalamu wa utabibu wa Kenya, Dokta Ruchika Kohli, amesema serikali za Afrika na wizara za afya zinapaswa kuwa katika hali ya tahadhari dhidi ya kuenea kwa kirusi cha Zika, ambacho kimewaathiri mamilioni ya watu huko Amerika.

https://p.dw.com/p/1HpJH