1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Zika

Kirusi cha Zika,maarufu zaidi katika mataifa ya Amerika Kusini na Karibian, kinajulikana kwa kusababisha madhara ya uzazi kama vile vichwa vidogo na ubongo ikiwa wanawake wajawazito wataambulizwa.

Kirusi cha Zika kinaambukizwa mara nyingi kupitia mbu, na kimefananishwa na kile cha homa ya Dengue. Hakuna tiba wala chanjo mpaka sasa kwa kirusi hicho, kinachosababisha dalili kama muwasho, homa na maumivu ya viuongo, na hivyo tiba ni kupumzika. Huu ni mkusanyiko wa maudhui kuhusu kirusi cha Zika.