Nchi za Afrika zaonywa kuhusu kirusi cha Zika | Anza | DW | 03.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Nchi za Afrika zaonywa kuhusu kirusi cha Zika

Mtaalamu wa utabibu wa Kenya, Dokta Ruchika Kohli, amesema serikali za Afrika na wizara za afya zinapaswa kuwa katika hali ya tahadhari dhidi ya kuenea kwa kirusi cha Zika, ambacho kimewaathiri mamilioni ya watu huko Amerika.

Tazama vidio 01:47