NASA yamvua Wetangula madaraka | Matukio ya Afrika | DW | 20.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Siasa Kenya

NASA yamvua Wetangula madaraka

James Orengo ameteuliwa kuwa kiongozi wa upinzani katika baraza la Seneti. Kimsingi mtangulizi wake Moses Wetangula ambaye pia ni kinara wa chama cha Ford kinachounda muungano wa upinzani wa NASA amevuliwa madaraka.

Sikiliza sauti 02:45

Ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi

            

Sauti na Vidio Kuhusu Mada