NASA wakosa imani na IEBC kuhusu mipaka | Masuala ya Jamii | DW | 07.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

NASA wakosa imani na IEBC kuhusu mipaka

Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, IEBC imeanza maandalizi ya kuratibu mipaka upya. Lakini muungano wa upinzani NASA umedai kutokuwa na imani na tume hiyo kwa kuzingatia rekodi yake kwenye uchaguzi uliopita. Isaac Gamba alizungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Herman Manyora kuhusu wasiwasi huu.

Sikiliza sauti 03:10