Mzozo wa Lipumba na CUF Zanzibar waendelea | Matukio ya Afrika | DW | 08.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Siasa Tanzania

Mzozo wa Lipumba na CUF Zanzibar waendelea

Baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Ibrahim Lipumba kutengua uteuzi wa wakurugenzi wa chama, CUF imesema Lipumba hana mamlaka ya kufanya hivyo wala Naibu katibu mkuu bara, Magdalena Sakaya.

Sikiliza sauti 02:11

Ripoti ya Salma Said kutoka Zanzibar

                      

Sauti na Vidio Kuhusu Mada