1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwaka mmoja tangu afariki, mwili wa Tshisekedi haujarejeshwa nyumbani

Sylvia Mwehozi
1 Februari 2018

Umetimia mwaka mmoja tangu alipofariki Etienne Tshisekedi, aliyekuwa kiongozi wa upinzani katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Mwili wake bado unahifadhiwa nchini Ubelgiji. Tulitembelea nyumbani kwake Kinshasa ambako wafuasi wanaendelea kutoa heshima. Papo kwa Papo 01.02.2018

https://p.dw.com/p/2rvVV