Mvutano waongezeka NASA na Jubilee | Matukio ya Afrika | DW | 16.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Siasa Kenya

Mvutano waongezeka NASA na Jubilee

Ni baada ya chama tawala cha Jubilee kushikilia kuwa kina haki ya kulalamikia utendaji wa idara ya mahakama. Upinzani unaoongozwa na NASA unaituhumu serikali kuu kwa kuimaliza nguvu idara ya mahakama.

Sikiliza sauti 02:21

Ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi

              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada