1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano kuhusu uchimbaji wa 'Lithium' nchini Uhispania

Iddi Ssessanga22 Septemba 2021

Wataalamu wanakadiria kuwa kuna hifadhi kubwa ya Lithium katika mkoa wa Extramandura nchini Uhispania. Makampuni kadhaa sasa yanataka kuchimba madini hayo katika eneo hilo na yanaahidi ajira katika mkoa huo dhaifu kimuundo. Lakini wakaazi wanapambana kuzuwia uchimbaji huo, wakihofia uharibifu mkubwa wa mazingira. Hii ndiyo mada yetu ya Mwangaza wa Ulaya wiki hii

https://p.dw.com/p/40dxC