1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtambue Sunjata Keita

Isaac Gamba
4 Aprili 2018

Kwa mujibu wa simulizi za kitamaduni, alizaliwa mlemavu lakini baadaye akawa shujaa. Alikuwa uhamishoni lakini baadaye akarejea na jeshi lenye nguvu na kuanzisha harakati za kukomboa eneo lao. Jina lake ni Sunjata Keita- Simba mfalme aliyeziunganisha koo za kabila la Mandiago na kuanzisha himaya ya Mali ambayo ni ufalme uliokuwa mkubwa na wenye nguvu wakati huo katika Afrika Magharibi.

https://p.dw.com/p/2vTkx