1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpango wa mafunzo ya roboti kwa watoto

Grace Kabogo
17 Januari 2022

Serikali ya Kenya mwaka jana ilianzisha mpango wa mafunzo ya roboti kwa watoto kwa mara ya kwanza katika shule za chechekea za kaunti ya Mombasa, katika juhudi za kuwakuza watoto zaidi kwenye masuala ya teknolojia ya kisasa.

https://p.dw.com/p/45dh3