Mji wangu, Harare | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 19.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Mji wangu, Harare

Mji wa Harare umepewa jina la kupangwa la Sunshine City yaani, mji unaong’aa mithili ya Mwanga wa jua. Si kwa sababu ya jua linaloangaza mwaka mzima lakini kwa sababu ya tabasamu za furaha na ukarimu wa wakaazi wake. Brita masalethulini anakutambulisha kwa mitaa inayopendeza ya Harare.