Mji wa Lagos nchini Nigeria | Mada zote | DW | 10.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Mji wa Lagos nchini Nigeria

Lagos ni kati ya miji mikubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla. Mji huu uliojaa shughuli mbalimbali ni kitovu cha uchumi nchini Nigeria. Makala ya "Vijana Mubashara 77-Asilimia" inakupeleka katika mji huo kupitia video hii. Tuandamane basi

Tazama vidio 03:10
Sasa moja kwa moja
dakika (0)