Michezo ya wenye ulemavu Uganda | Media Center | DW | 03.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Michezo ya wenye ulemavu Uganda

Kuwa na ulemavu sio kutojiweza hata katika michezo. Washiriki hawa katika mashindano ya vinyoa yaani badminton wamejumuika kutoka mataifa manne barani Afrika na kubuni timu za mseto miongoni mwao.

Tazama vidio 02:46

Zaidi katika Media Center