1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 100 ya uhujaji wa mashahidi wa Uganda

3 Juni 2020

Ni miaka mia moja tangu mahujaji wa kwanza walipojumuika kwenye madhabahu ya Mashahidi wa Uganda Namugongo baada ya kutawazwa kuwa wenye heri mwaka 1920. Lakini sherehe za mwaka huu zimekosa msisimko kutokana na COVID-19.

https://p.dw.com/p/3dD4k