SiasaMhamiaji apongezwa kwa uokoaji, apewa uraia wa UfaransaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo28.05.201828 Mei 2018Mhamiaji kutoka Mali aliyepanda jengo la ghorofa nne kumuokoa mtoto mjini Paris, Ufaransa amepewa uraia wa Ufaransa baada ya kukutana na Rais Emmanuel Macron. Papo kwa Papo 28.05.2018 https://p.dw.com/p/2yTFUMatangazo