1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana asiekubali kurejeshwa nyuma na ulemavu wa ngozi

22 Januari 2021

Mchoraji kijana kutoka Kongo Ngiragezi Jackson (20) anaihimiza serikali nchini humo kuwatengea kazi wenye ulemavu wa ngozi kwani wana uwezo kama binadamu wengine.

https://p.dw.com/p/3oICF