Mchezo wa Skate watumika Ethiopia kuwaepusha vijana kuingia matatani | Afrika yasonga mbele | DW | 23.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mchezo wa Skate watumika Ethiopia kuwaepusha vijana kuingia matatani

Israel Dejene anawaleta vijana pamoja mjini Addis Ababa kwa kujenga ukumbi wa kucheza mchezo wa Skate na kupitia mchezo huo wanajifunza namna ya kuzikabili changamoto za kimaisha.

Tazama vidio 03:22
Sasa moja kwa moja
dakika (0)