MC Loy: Habari kwa miondoko ya rap | Afrika yasonga mbele | DW | 03.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

MC Loy: Habari kwa miondoko ya rap

Msichana rapa Zoe Kabuye, a.k.a MC Loy, anatoa taarifa mpya katika kipindi Newzbeat kinachopeperushwa hewani na NTV. Kipindi cha rap chenye kubeba taarifa muhimu kinapendwa na vijana ambao wanapenda muziki ya siasa.

Tazama vidio 03:08

Habari kwa miondoko ya rap

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com