Mbunge aliyeuwawa Uganda azikwa | Media Center | DW | 11.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mbunge aliyeuwawa Uganda azikwa

Mbunge Ibrahim Abirige aliuwawa na watu wasiojulikana waliomfyatulia risasi akiwa ndani ya gari lake nyumbani kwake nje ya mji mkuu wa Kampala. Ni mmoja wa watu mashuhuri walioko katika orodha ya waliouwawa karibuni na watu wasiojulikana. Bunge linataka uchunguzi ufanyike haraka.

Tazama vidio 00:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)