Matumizi ya Kijeshi yaliongezeka 2017 -SIPRI | Media Center | DW | 02.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matumizi ya Kijeshi yaliongezeka 2017 -SIPRI

Matumizi ya kijeshi yalizidi kupanda duniani mwaka 2017, ikilinganishwa na mwaka uliotangulia wa 2016. Kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Utafiti kuhusu Amani -SIPRI lenye makao nchini Sweden, China, Marekani, Saudi Arabia na India ndizo zilizoongoza kwa matumizi ya kijeshi. Lakini bajeti ya ya ulinzi ya Urusi imeshuka kutokana na vikwazo. Papo kwa Papo 02.05.2018

Tazama vidio 01:22
Sasa moja kwa moja
dakika (0)