1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana - 13.05.2026

SK2 / S02S13 Mei 2026

Rais wa Marekani Donald Trump amesema atamshinikiza Rais wa China, Xi Jinping "afungue fursa zaidi''+++Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na majeshi ya Nigeria na Chad.

https://p.dw.com/p/5DhPC