Mafuriko yalikumba eneo la kaskazini mwa msumbiji na kuzusha wasiwasi kwa wakaazi laki saba wa eneo hilo. Jeshi nchini Sudan limelaani shambulio dhidi ya chama chenye mafungamnao na rais wa zamani Omr al-Bashir. Papa Francis ametoa wito wa kuhamishwa haraka wakimbizi nchini Libya