1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 27.03.2018

Josephat Charo
27 Machi 2018

Haifahamiki iwapo kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un alizuru China. Vyombo vya habari vya Urusi vimeungana vikisema uhusiano wa nchi hiyo na mataifa ya magharibi unaingia katika enzi mpya ya vita baridi. Polisi wa kuzuwia ghasia Uhispania wameondoa vizuwizi vilivyowekwa na waandamanaji waliopinga kukamatwa kwa kiongozi wa zamani wa jimbo hilo Carles Puigdemont.

https://p.dw.com/p/2v5XM