1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 20.06.2026

20 Juni 2026

Watu watano wameuawa kwenye mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Pakistan, Mohsin Naqvi, yuko nchini Iran kujadili muendelezo wa mazungumzo ya Marekani na Iran nchini Uswisi. Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk, aelezea masikito yake kuhusu sheria mpya za uhamiaji za Umoja wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/5FlV6