1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 08.11.2019

Sylvia Mwehozi
8 Novemba 2019

Chama cha upinzani nchini Tanzania ACT Wazalendo leo kimetangaza kususia na kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika nchini humo Novemba 24//Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, Mike Pompeo anakutana na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel mjini Berlin

https://p.dw.com/p/3SiHH