1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiSomalia

Mataifa ya afrika yanuia kupambana na kundi la Al-shabaab

Josephine Karema
2 Februari 2023

Mchambuzi wa masuala ya kisiasa za kikanda kutoka Kenya Herman Manyora anatathmini mkutano wa kilele wa Somalia. Viongozi wa Djibouti, Ethiopia na Kenya walikutana na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud mjini Mogadishu wakinuia kuanzisha operesheni ya kuangamiza kundi la Al-Shaabab.

https://p.dw.com/p/4N22d