JamiiMashindano ya mbwa SingaporeTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii05.02.20185 Februari 2018Raia wa China na watu wenye asili ya China duniani wanajiandaa kuadhimisha mwaka mpya, ambao kwa mujibu wa kalenda yao, utakuwa "Mwaka wa Mbwa". Hivyo wakazi wa mtaa wa Kichina nchini Singapore wamefanya mashindano ya mbwa.https://p.dw.com/p/2s8zVMatangazo