1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maporomoko ya ardhi yaua watu 34 Uganda

12 Oktoba 2018

Maafa kutokana na maporomoko ya ardhi na mafuriko yametokea Uganda baada ya mvua kubwa. Watu 34 wameripotiwa kufariki huku watu kadhaa wakiwa bado hawajulikani waliko. Shughuli za uokozi zinaendelea

https://p.dw.com/p/36RF6