1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Kenya baada ya uchaguzi

Mohammed Khelef
3 Novemba 2017

Uchaguzi wa tarehe 8 Agosti huko Kenya ulifutiliwa mbali na Mahakama ya Juu nchini humo kufuatia madai ya udanganyifu na tarehe mpya ya uchaguzi mwengine iliwekwa. Baada ya uchaguzi huo mpya uliofanywa tarehe 26 Oktoba nchini Kenya kususiwa na upinzani na rais aliyeko mamlakani Uhuru Kenyatta kupata zaidi ya asilimia 96 ya kura, katika kipindi cha maoni tunauliza Kenya inaelekea wapi?

https://p.dw.com/p/2mxpO