1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Uhuru Kenyatta aahidi kuunga mkono mgomba wa NASA

Khelef Mohammed18 Juni 2021

Joto la kisiasa nchini Kenya linazidi kupanda kuelekea uchaguzi wa mwaka 2022. Rais Uhuru Kenyatta amesema atamuunga mkono mgombea wa muungano wa upinzani NASA. Hii ndio mada ya Maoni- mbele ya meza ya duara. Nahodha ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/3vBoy