1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afya Yako: Umuhimu wa kujitolea kutoa damu

18 Juni 2021

Shirika la afya duniani WHO limeitangaza tarahe 14 Juni kuwa siku maalumu kwa ajili ya kusisitiza umuhimu wa watu kujitolea kutoa damu kwa ajili ya kuwasaidia watu wengine. Ni siku ya kuhamasisha ufahamu na haja ya kupatikana damu safi na salama ambayo manufaa yake ni kuokoa maisha. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/3v9Qx