Majina 5 ya utani ya Malkia Elizabeth | Mada zote | DW | 18.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Majina 5 ya utani ya Malkia Elizabeth

Mbali ya kuwa kwake mtawala wa Uingerez, Malkia Elizabeth II pia ni bibi, mama na mke, jambo linalomaanisha kuwa sio tu ana majina na vyeo rasmi, bali pia ana majina kadhaa ya utani na mengine ya kuchekesha.