1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Wabunge SADC wajipanga kudhibiti ufisadi

18 Aprili 2024

Umoja wa Kamati za Udhibiti na Usimamiaji wa Mahesabu ya Serikali katika mabunge ya mataifa wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) walikuwa wakikutana visiwani Zanzibar kujadiliana udhibiti wa rushwa kwenye miradi inayoendeshwa kwa fedha za umma. George Njogopa anazungumza na mmoja wa waandaaji wa kongamano hilo, Robert Lauriani Mwiro.

https://p.dw.com/p/4evZV