Mahakama: Museveni alichaguliwa kwa haki | Matukio ya Afrika | DW | 31.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mahakama: Museveni alichaguliwa kwa haki

Mahakama Kuu ya Uganda imesema Rais Yoweri Museveni alichaguliwa kihalali kuiongoza tena Uganda katika uchaguzi mkuu. Mgombea Amama Mbabazi alikuwa amefungua kesi akidai kwamba uchaguzi haukuenda sawa.

Sikiliza sauti 03:10

Emmanuel Lubega anaripoti kutoka Kampala

Sauti na Vidio Kuhusu Mada