1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko Uganda yasababisha maafa

11 Mei 2020

Zaidi ya familia 1,000 zimeachwa bila makao katika eneo la Kasese Magharibi mwa Uganda. Hii ni kufuatia kufurika kwa mito Nyamwamba Mubuku, Nyamughasana na Lhubiriha ambayo ilipasua kingo zao.

https://p.dw.com/p/3c2i1