Mafuriko nchini Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 05.01.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mafuriko nchini Kenya

Eneo la Afrika Mashariki limeendelea kukumbwa na mafuriko ambapo nchini Kenya kiasi watu 20 wameuawa kutokana na mafuriko hayo.

default

Mtaa wa Kibera jijini Nairobi kulikokumbwa na mafuriko.

Watu wengine kiasi cha 20,000 wameachwa bila makazi nchini humo.Nyumba kadhaa katika mtaa wa mabanda wa Kibera jijini Nairobi zimebomoka kwa mujibu wa maafisa wa polisi nchini Kenya. Grace Kabogo alizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Kenya, Abbas Gullet, na alianza kwa kuelezea hali halisi ya mafuriko hayo nchini humo.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Abbas Gullet

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com