1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maduka ya yauzayo vitu vilivyotumika Berlin

21 Agosti 2019

Bora kuwa na nguo chache unazozipenda kuliko kumiliki nguo chungunzima usizozithamini na ni kwasababu hii ndipo Harrison Mwilima ametembelea duka moja mjini Berlin linalochukua nguo chakavu na kuzipa muundo mwengine. Sikiliza makala ya Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3OHbA