1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano ya Upinzani nchini Kenya

Shisia Wasilwa21 Machi 2023

Viongozi wa Azimio La Umoja One Kenya wameuambia utawala wa Rais William Ruto kujiandaa kwa maandamano makuu zaidi wakitaja kuwa maandamano ya siku ya Jumatatu ni kionjo. Hayo yanajiri huku Kinara wa Azimio Raila Odinga akisema kuwa kila Jumatatu kutakuwa na maandamano nchini hadi utawala wa Rais Ruto uangazie masuala ya gharama ya maisha na uchaguzi.

https://p.dw.com/p/4Owve