Maandamano Berlin dhidi ya magari binafsi mjini na mitaani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 10.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Maandamano Berlin dhidi ya magari binafsi mjini na mitaani

Wanaharakati waandamana mjini Berlin kupinga kile wanachosema kuwa uwepo wa magari mengi mitaani na hivyo huchukua nafasi kubwa yanapoegeshwa na kuwanyima watoto maeneo ya kucheza na shughuli nyinginezo za kijamii. Mengi zaidi ni katika video hii ya Kurunzi Ujerumani

Tazama vidio 01:52