1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mohammed Abdulrahman na neno la kwaheri

3 Desemba 2018

Mtangazaji wa muda mrefu wa DW Kiswahili, ambae pia ni Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili amezungumza kwa urefu kuhusu majukumu yake na maisha yake ya kazi baada ya kuitumikia idhaa kwa miaka 38. Zaidi msikilize alipozungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/39Kdb