Kura zilizoharibika zaibua maswali Kenya | Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2017 | DW | 11.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Uchaguzi mkuu kenya

Kura zilizoharibika zaibua maswali Kenya

Ujumbe wa Umoja wa Afrika unatiwa shaka na idadi kubwa ya kura ambazo ziliharibika. Kinacholaumiwa ni ukosefu wa elimu ya kutosha kwa wapigakura ambao hawakufahamu namna ya kutumia karatasi la kura.

Sikiliza sauti 02:52

Ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi

             

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com