1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kukuwa sekta ya utalii wa matibabu Tunisia

Mohammed Khelef
7 Februari 2024

Licha ya kukabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi na mzigo wa madeni, Tunisia inapiga hatua kubwa kwenye sekta ya utalii wa matibabu, ambapo wageni kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni wanamiminika kwenye taifa hilo la kaskazini mwa Afrika kwa ajili ya matembezi na tiba kwa wakati mmoja. Mohammed Khelef anaangalia jinsi sekta hiyo inavyoimarika.

https://p.dw.com/p/4c8R6