1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la kwanza la Saratani lazinduliwa mjini Nairobi

thelma
2 Februari 2023

Kongamano la kwanza la Saratani nchini Kenya limefunguliwa rasmi mjini Nairobi kutathmini hali halisi ilivyo likiwa na kaulimbiu: Sema kwa sauti moja na chukua hatua." Takwimu zinaashiria kuwa takribani nusu ya wagonjwa wa saratani hugundulika kuwa na maradhi hayo wakiwa kwenye hatua za mwisho za kuugua. Thelma Mwadzaya alihudhuria kongamano hilo na ametuandalia taarifa hiyo.

https://p.dw.com/p/4N2H7