Kisiwa cha Nyoka | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 14.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kisiwa cha Nyoka

Wakaazi wa kisiwa cha Musambwa nchini Uganda wana urafiki usio wa kawaida na nyoka. Kwa miaka mingi wamekuwa wakiishi na nyoka wenye sumu kali aina ya cobra

Tazama vidio 01:29