Kipindi cha Karibuni cha 26.06.2021 | Masuala ya Jamii | DW | 13.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kipindi cha Karibuni cha 26.06.2021

Msikilize Jamil Jamal au JJ nyota wa sanaa ya uigizaji wa Mombasa Kenya. JJ amejizolea sifa ya kiwango cha juu kwa uigizaji wake wa kama mtumiaji wa dawa za kulevya. Zaidi ungana na Sudi Mnette katika kipindi cha Karibuni.

Sikiliza sauti 30:05